Posts

Showing posts from January, 2021

Harmonize Amsifia Diamond Platinumz.

Image
By:Peace Benshazy Picha:Harmonize na Diamond.       Harmonize aliposti ujumbe wa kumsifia Ex-Boss wake Diamond kwa kumtoa mbali na kufanya awe alipo sasa hivi. "Pekee uliona dhahabu kwenye mchanga na giza jingi sanaa.. Leo Hii Africa mzima special East Africa wanajivunia uwepo wangu 🤞♥️This is love is forever my brother. Everything I have done its just to make you proud don't get me wrong kaa chini peke yako bila mtu yeyote pembeni soma ninachomaanisha. You are the legend one. Stay cool#KONDEBOY and all KONDEGANG team we love you. Happy new year big brother",Harmonize ambaye sasa hivi anamiliki lebo ya KONDE GANG alipost ujumbe huo kwenye page yake.       Siku kadhaa zilizopita Harmonize alimkashifu Diamond kwa kukataa kumsaidia babake mzazi. Hii ni baada ya picha ya babake diamond akiabiri matatu,huku kabeba gunia kusambaa mitandaoni. Diamond na babake hawajakuwa kwenye uhusiano mzuri wa baba na mwana kwa sababu hakumpa malezi akiwa mchanga.